Rais Samia amewaonya Vijana wanaojiita panya road

0

Rais Samia kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi Dodoma leo amewaonya Vijana wanaojiita panya road ambao wanajeruhi na kupora kuacha tabia hiyo mara moja kwasababu wanahatarisha maisha ya Raia na maisha yao pia.

“Kumeanza kujitokeza uhalifu kuna vijana wanajiita panya road au panya buku wanavamia, kujeruhi na kupora, nawaonya waache mara moja unyama huo kwasababu wanapohatarisha maisha ya Raia wanajitaharishia usalama wao pia”

Leave A Reply

Your email address will not be published.