Rais samia ahaidi kupandisha mishahara

0

Rais Samia leo kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi ambayo yamefanyika Kitaifa Dodoma amewahakikishia Wafanyakazi kuwa jambo la nyongeza ya mishahara mwaka huu lipo kama alivyowaahidi mwaka jana na kusema mahesabu yanaendelea ili kujua itapandishwa kwa kiasi gani.

“Ulezi wa Mama unaendelea, lile jambo letu (kupandisha mishahara) lipo, sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwasababu hali ya uchumi wa Nchi yetu na uchumi wa Dunia sio nzuri sana, uchumi wetu ulishuka mnoo tumejitahidi sana kuupandisha na kwasababu tulishatoa ahadi mwaka jana nimeagiza jambo liwepo, mahesabu yanaendelea tutajua lipo kwa kiasi gani lakini jambo lipo”

Leave A Reply

Your email address will not be published.